Macho Yetu Hukuelekea
| Macho Yetu Hukuelekea |
|---|
| Performed by | - |
| Album | Uwe Nasi Mama Maria |
| Category | Bikira Maria |
| Views | 4,399 |
Macho Yetu Hukuelekea Lyrics
- Macho yetu yamekuelekea wewe Mama Maria
Ndiwe mwombezi wetu
Mama bora mwenye huruma na unyenyekevu wa moyo
U kimbilio letu
Utuombee maria, sisi wanao, ili tusije kupotea
Utawala wa shetani umetuzunguka, maisha yetu ya mashaka
Utusimamie mama maisha yetu yote tufike kwake Baba
- Vishawishi vyake shetani vinatusonga siku zote
Uovu umezidi
Utuombee kwake Baba atupe ujasiri mwingi
Tushinde mjaribu
- Tunapenda kuwatendea watu wotee yaliyo mema
lakini tunashindwa
Ukivunje kiburi kilichomo ndani ya nyoyo zetu
Tuwe wema daima