Salamu Mama Maria
Salamu Mama Maria | |
---|---|
Performed by | Kwaya ya Malkia wa Mitume Parokia ya Vincent Palloti Arusha |
Album | Uwe Nasi Mama Maria |
Category | Familia |
Views | 8,257 |
Salamu Mama Maria Lyrics
{Salamu mama Maria, salamu Mama Maria
Mama Salamu Mama salamu, } *2
{Mama umejaa neema (kweli)
Umebarikiwa salamu mama salamu} *2- Ee Mama mwema ee mama wa Mkombozi, twakupenda Mama
- Katika shinda ndiwe kimbilio letu, Mama wa neema
- Utuombee kwa mwanao Yesu Kristu, tufike Mbinguni