Sogeeni Kwa Karamu
Sogeeni Kwa Karamu | |
---|---|
Performed by | St. Maurus Kurasini |
Album | Hubirini Kwa Kuimba |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 5,371 |
Sogeeni Kwa Karamu Lyrics
- Bwana Yesu ni mwili wa uzima, tukila tutashibishwa
Bwana Yesu ni damu ya uzima, Yeye ni uzimaSogeeni kwa karamu ya upendo
Twende sote tule mwili wake
Twende sote tunywe damu yake Bwana tupate uzima - Tunapokula mwili wake Bwana, na kuinywa damu yake
Tunatangaza kifo chake Bwana Mpaka arudipo - Alaye mwili wake Bwana wetu, na kuinywa damu yake
Akila bila ya kustahili anajihukumu