Bwana Alikuwa Tegemeo
Bwana Alikuwa Tegemeo | |
---|---|
Performed by | St. Ambrose Kikuya Arusha |
Category | Zaburi |
Composer | Ajabu J. Ndahitobhotse |
Views | 3,535 |
Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics
{Bwana alikuwa - tegemeo langu ooh aee
Bwana alikuwa tegemeo langu ooh aee } *2
{ Akanitoa (oh oh ) akanipeleka (pale) panapo nafasi
Aee ooh ooh Akaniponya (mimi)
kwa kuwa aipendezwa nami } *2- Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu
Maana nimezishika njia zake
wala sikumuasi Mungu - Nimeshika maagizoye,
Sikuacha na amri zake
Mbele za Bwana sikuwa na hatia
Nikainua wema wangu mbele zake - Atukuzwe Baba na Mwana
Naye Roho Mtakatifu
Kama mwanzo na sasa na siku zote
Na milele milele yote, amina