Salamu Maria Salamu

Salamu Maria Salamu
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumNakupenda Maria
CategoryBikira Maria
ComposerF. A. Nyundo
Views10,400

Salamu Maria Salamu Lyrics

  1. Salamu Maria salamu,
    Salamu Bikira - mama Maria ,
    Mama wa mkombozi - mama Maria
    umejaa neema nyingi

  2. Utusaidie ee Mama, tuweze kufika kwako .
  3. Uwatulize wenye shida, waweze kupata raha
  4. Maishani utuongoze, tuepukane na dhambi
  5. Tuombee kwa Mungu Baba, nasi tufike mbinguni .
  6. Uwalinde na viongozi, waenezao neno la Bwana