Maria Bikira Tumshangilie
Maria Bikira Tumshangilie | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Bikira Maria |
Views | 3,556 |
Maria Bikira Tumshangilie Lyrics
Maria Bikira tumshangilie ,
Mama yetu bora tumkimbilie.
Tumsifu , tumsifu
Tumsifu , Maria *2- Pasipo kilema tangu asili
Waitunza nzima hyo fadhili - Kumwona malaika wafadhaika
Nenole kubali ,tutaokoka . - Wakushangilia humu vizazi ,
Kwani wamfumbia wao mkombozi