Jambo Hili Ninalitamani
Jambo Hili Ninalitamani | |
---|---|
Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
Album | Tufurahi |
Category | Tafakari |
Composer | L. B. Bukombe |
Views | 7,242 |
Jambo Hili Ninalitamani Lyrics
Jambo hili ninalitamani kwa moyo wangu wote ,*2
Maana katika msalaba (wake Kristu), mna wokovu *2
Kuujua kuupenda na kuuishi milele yote *2- Maana wewe Bwana ,
Mimi ninakutumainia kama mlinzi wangu - Tawala maisha yangu,
Nitende kwa uaminifu kazi yako wewe Bwana - Niongoze milele,
Niwachunge kondoo wako Bwana wasipotee