Mtakatifu Cecilia
Mtakatifu Cecilia |
---|
Performed by | - |
Category | Watakatifu |
Views | 5,154 |
Mtakatifu Cecilia Lyrics
- Katika karne ya tatu kule Italia
Italia kule Roma, kulikuwa na mfadhili Cecilia *2
Cecilia Mtunzi wa nyimbo zetu
Cecilia Cecilia Cecilia Mama Mama Mshupavu
Cecilia mfano kwetu sisi.
Cecilia mtumishi wa Mungu
Cecilia msimamizi wetu
Cecilia msimamizi wetu
- Cecilia mwenye msimamo
Utuombee Mama wa imani
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Wewe ndiwe kiongozi mwema
- Tunaomba mwongozo wako
Ili tuwe na nguvu dhabiti
Tueneze neon lake Mungu
Tueneze neon lake Mungu
- Cecilia tupe ujasiri
Tuwe na ule moyo wa upendo
Tukafanye kazi yake Mungu
Tukafanye kazi yake mungu