Mtakatifu Cecilia

Mtakatifu Cecilia
Choir-
CategoryWatakatifu

Mtakatifu Cecilia Lyrics

1. Katika karne ya tatu kule Italia
Italia kule Roma, kulikuwa na mfadhili Cecilia *2

Cecilia Mtunzi wa nyimbo zetu
Cecilia Cecilia Cecilia Mama Mama Mshupavu


Cecilia mfano kwetu sisi.
Cecilia mtumishi wa Mungu
Cecilia msimamizi wetu
Cecilia msimamizi wetu2.Cecilia mwenye msimamo
Utuombee Mama wa imani
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Wewe ndiwe kiongozi mwema

3.Tunaomba mwongozo wako
Ili tuwe na nguvu dhabiti
Tueneze neon lake Mungu
Tueneze neon lake Mungu

4.Cecilia tupe ujasiri
Tuwe na ule moyo wa upendo
Tukafanye kazi yake Mungu
Tukafanye kazi yake mungu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442