Dunia Yasisimka
Dunia Yasisimka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | (traditional) |
Views | 3,057 |
Dunia Yasisimka Lyrics
- Dunia yasisimka kwa Injili /ya neno la Bwana,
Nasi furaha tumejaa, aleluya/ale-aleluya.Neno lako ewe Bwana , litangazwe siku zote *2
- Roho wa Bwana yu juu/yako wewe / amekuteua,
tuondolee upofu wetu wote tupate kuona. - unatuletea sisi maskini/neno lako jema ,
Na sisi tuliofungwa , usalama / tupate uhuru. - unautangaza mwaka wa huruma/ na wa rehema kuu
Tuliovunjika na kukata moyo / we' unatutibu - Ndiwe nuru kwetu sisi wanadamu / ya kutuangaza,