Nalifurahi Waliponiambia
   
    
     
         
          
            Nalifurahi Waliponiambia Lyrics
 
             
            
- Nalifurahia waliponiambia (twende)
 Twende nyumbani mwake Bwana (Mungu)
 Baba wa milele , pia mtukufu , astahili enzi yote
- Sasa miguu yetu yasimama
 -wakupendao na wafanikiwe.
 Kwenye milanngo ako ee Sayuni
 -wakupendao na wafanikiwe
- Yerusalemu mji uliojengwa
 Kama mji ulioshikamana
- Walikopanda makabila
 Naam,kabila zote za Sayuni
- Wamushukuru Mungu Baba yetu
 Kama alivyotuagiza sisi sote
- Na hapo mna mahakama kuu
 Ni ile ya kifalme ya Daudi
- Uombeeni sSayuni amani
 Nayo fanaka muiombeeni
- Amani iwe ukumbini mwako
 Na usalama kwa majumba yako
- Kwa ‘jili ya jamaa zetu zote
 Kwa ‘jili nya nyumba yake Mwenyezi