Njooni Nyote Tumshangilie

Njooni Nyote Tumshangilie
Performed by-
CategoryThanksgiving / Shukrani
Views4,708

Njooni Nyote Tumshangilie Lyrics

  1. Njoni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu * 2

  2. Kwa maisha yetu - Tunakushukuru.
    Kwa mapendo yako - Tunakushukuru
  3. Kwa umoja wetu - Tunakutukuza
    Kwa imani yetu - Tunakutukuza
  4. Kwa furaha yetu - Tunakuheshimu
    Kwa uchungu wetu - Tunakuheshimu
  5. Na Kwa mazao yetu - Tunasema asante
    Hizi zote Baba - Tunakutolea