Tuingie Nyumbani mwa Bwana
| Tuingie Nyumbani mwa Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Views | 9,365 |
Tuingie Nyumbani mwa Bwana Lyrics
- Tuingie nyumbani mwake Bwana
Tuingie nyumbani mwake Bwana kwa shangwe.Aleluya, aleluya,
Tuingie nyumbani mwake Bwana kwa shangwe - Sote tumwimbie wimbo mpya,
kwa sifa nao utukufu wake Bwana - Tushangilie kwa furaha
Kwa kuwa yeye ni mkombozi wa wote. - Vijana wazee na watoto ,
Sote tulisifu jina la Bwana wetu. - Tutoe nyoyo zetu kwa Bwana,
Sote tuzipate baraka na neema - Na tumshangilie Mungu pote,
Sote tu-m-sifu milele na milele