Neno la Mungu

Neno la Mungu
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views5,301

Neno la Mungu Lyrics

  1. Neno la Mungu, neno la Mungu, neno la Mungu

  2. Neno la Mungu latuumbia mbingu,dunia
  3. Neno la Mungu ni lenye nguvu kutoa ovu
  4. Neno la Mungu lenye uzima lapenya mtima
  5. Neno la Mungu linatuonya , linatuponya
  6. Neno la Mungu latuongoza,latutuliza
  7. Neno la Mungu latualika tutaitika