Sasa Nitayasimulia
Sasa Nitayasimulia | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Kijenge |
Category | Zaburi |
Composer | Y. Mahundi |
Views | 2,907 |
Sasa Nitayasimulia Lyrics
Sasa nitayasimulia matendo ya Bwana
Nami (nami) nitayadhihirisha mambo (mambo) yale yote niliyoyaona
Kwa Neno la Bwana
vimekuwapo viumbe vimekuwapo viumbe vyote
Na kazi impendezayo (kweli) ni sawasawa na amri yake- Jua litoapo nuru hudhihirika pahali pote
Na kazi ya Bwana imejaa utukufu - Yeye huchunguza vilindi pia na moyo
Wa binadamu na kuyatambua mashauri yake ya siri - Maana aliye juu amaizi yote
Yalo ujuzi naye hupendezwa na ishara za ulimwengu