Msifuni Bwana Enyi Mataifa
Msifuni Bwana Enyi Mataifa |
---|
Performed by | - |
Album | Mtukuzeni Mungu |
Category | Zaburi |
Composer | M. B. Syote |
Views | 5,017 |
Msifuni Bwana Enyi Mataifa Lyrics
Msifuni Bwana enyi mataifa,
Mpigieni kelele za shangwe
Bwana ni Mfalme wa mataifa
{ Fadhili za Bwana Bwana Mungu wetu
Fadhili za Bwana ni za milele } *2
{ Bwana ndiye Muumba wetu, ndiye Bwana Mungu wetu
Na tumtukuze Bwana Mungu milele na hata milele } *2
- Mwimbieni Bwana wimbo mpya
Mwimbieni Bwana kwa kinanda
Imbeni kwa sauti ya shangwe, mwimbieni
- Enyi mataifa mtukuzeni Bwana Mungu
Itangazeni sauti ya sifa zake
- Bwana Mungu mfalme ni mkuu
Juu ya mataifa yote
Na utukufu wake ni juu ya Mbingu na nchi