Msifuni Bwana Mataifa Msifuni
| Msifuni Bwana Mataifa Msifuni |
|---|
| Performed by | - |
| Album | Mtukuzeni Mungu |
| Category | Zaburi |
| Composer | M. B. Syote |
| Views | 4,157 |
Msifuni Bwana Mataifa Msifuni Lyrics
- Msifuni Bwana mataifa msifuni
Yesu Kristu ndiye mkuu wa dunia yote
Yeye ni Bwana, ni Bwana wa Mabwana
Yesu Kritu Bwana Mkuu daima milele
- Kristu alidhihirika katika mwili
Kristu akajulikana utawala wake kaika roho
Kristu akonekana na malaika
Kristu akahubiriwa na mataifa
{Kristu akaaminiwa katika ulimwengu
Kristu akachukuliwa juu katika utukufu } *2
- Msifuni Bwana mataifa msifuni
Yesu Kristu ndiye mkuu wa dunia yote
Yeye ni Bwana, ni Bwana wa Mabwana
Yesu Kritu Bwana Mkuu daima milele