Bwana Nikufananishe Na Nini

Bwana Nikufananishe Na Nini
ChoirSt. Cecilia Kijenge
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerDeo Kalolela
SourceTanzania

Bwana Nikufananishe Na Nini Lyrics

Bwana nikufananishe na nini
Au nikufananishe na nani
Pendo lako Bwana ni la ajabu
Ndiyo sababu ya furaha yangu1. Kwa kuwa Bwana ulinijua
Tangu tumboni mwa mama yangu
Ukanitunza kwa upendo
Ukanijaza pendo lako

2. Nilipokuwa kwenye mateso
Nilifikiri umeniacha
Mawazo yangu ya kitoto
Sikutambua pendo lako

3. Kwangu ulijifunua Bwana
Moyo wangu ulikutambua
Matendo mengi yenye nguvu
Uliyotenda mbele yangu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442