Ekaristi Takatifu
Ekaristi Takatifu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 6,640 |
Ekaristi Takatifu Lyrics
Ekaristi takatifu ni chakula chetu wanadamu
Ekaristi takatifu ni kinywaji chetu wanadamu
Aulaye mwili wa Yesu, na kuinywa damu yake
Ataishi milele na milele- Mwili wake Yesu Kristu, ni chakula cha kweli
Na damu yake Yesu ni kinywaji cha kweli - Twendeni kwenye karamu, Kristu anatuita
Anatukaribisha kwa mapendo ya kweli - Yesu alishuka kwetu, toka kwake Mbinguni
Alijitoa mwili ili atuokoe