Ekaristi Takatifu

Ekaristi Takatifu
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJoseph Makoye
SourceTanzania

Ekaristi Takatifu Lyrics

Ekaristi takatifu ni chakula chetu wanadamu
Ekaristi takatifu ni kinywaji chetu wanadamu
Aulaye mwili wa Yesu, na kuinywa damu yake
Ataishi milele na milele

  1. Mwili wake Yesu Kristu, ni chakula cha kweli
    Na damu yake Yesu ni kinywaji cha kweli
  2. Twendeni kwenye karamu, Kristu anatuita
    Anatukaribisha kwa mapendo ya kweli
  3. Yesu alishuka kwetu, toka kwake Mbinguni
    Alijitoa mwili ili atuokoe