Anakuja Masiha, anakuja Masiha
Anakuja Bwana mfalme, kutuokoa
- Itengenezeni njia yake,
yatayarisheni mapito yake, anakuja Masiha.
- Mabonde yote na yafukiwe,
na vilima vyote visambazwe, anakuja Masiha
- Mioyo yote na itakaswe,
watu wote na wawe tayari, anakuja Masiha
- Dunia itaona salama,
watu watakuwa na amani, anakuja Masiha
- Watu watauona wokovu,
wokovu utakao kwa Bwana, anakuja Masiha
|
|
|