Pitieni Milango
| Pitieni Milango | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,182 |
Pitieni Milango Lyrics
Pitieni Milango ya hekalu lake kwa shukrani,
Ingieni katika makao yake kwa sifa.*2- Kwa kuwa Bwana fadhili zake ni za milele,
Na uaminifu wake vizazi vyote. - Mwabudu Mungu kwa furaha nendeni kwake,
Mwimbieni nyimbo za furaha kwa shangwe. - Jueni kuwa Mungu ndiye aliyetuumba,
Sisi tu kondoo wa malisho yake.