Chakula cha Bwana Tayari
Chakula cha Bwana Tayari | |
---|---|
Performed by | St. Antony of padua Magomeni |
Album | Twende Mezani |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | G. Matui |
Views | 5,179 |
Chakula cha Bwana Tayari Lyrics
Chakula cha Bwana tayari, twende tukale,
Ametualika mwenyewe, twende ndugu twende,
Twende na usiogope tupate uzima wa milele.- Bwana anatuita twende, tukale chakula cha Mbinguni
Tukale kwa imani ndugu tutapata uzima - Twende tukampokee Bwana, akae moyoni mwetu daima
Tukampokee kwa imani, tutapata uzima - Atatulisha na kutunywesha daima, tutapokea mema ya mbinguni
Tukale kwa imani ndugu tutapata uzima - Yeye ni shina la uzima mpya, pia ni njia wazi ya mbingu
Tukale kwa imani ndugu tutapata uzima