Bwana ni Nuru Yangu
Bwana ni Nuru Yangu |
---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Views | 6,657 |
Bwana ni Nuru Yangu Lyrics
- Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu
Nimwogope nani na nimhofu nani
Bwana ni ngome yangu na uzima
Nimwogope nani na nimhofu nani
Nimeamua (mimi ) maisha yangu (yote )
Nitakaa nyumbanI mwake mungu. *2
- Nikitazama uzuri wake Bwana
Moyoni ninapata nguvu kumfuata.
Ninapotafakari hekaluni mwake
- Jeshi la mwovu likipigana nami
Sitaogopa kwani Mungu yuko nami.
Hata watesi na adui wakija
- Napiga moyo kode nikimngoja Bwana
Ufalme wake ndio tumaini langu.
Na wema wake kweli mimi nitapata