Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu |
---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Views | 19,323 |
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu Lyrics
- {Bwana ndiye mchungaji wangu.
Bwana ndiye mchungachi wangu, sitapungukiwa na kitu} *2
(Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
kando ya maji utilivu huniongoza) *2
- {Huandaa meza mbele yanguâ.
Huandaa kmeza mbele yangu , machoni pa watesi wangu }*2
(Umenipaka mafuta kichwani pangu,
na kikombe change kinafurika) *2
- {Hakika wema na fadhili..
Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote} *2
( Zitanifuata siku zote za maisha yangu,
nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele) *2
- {Katika njia za haki..
Katika njia za haki sitaogopa mabaya} *2
(Kwa maana wewe upo pamoja nami,
gongo lako na fimbo yako vyanifariji )*2