Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Choir-
CategoryZaburi

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu Lyrics

 1. {Bwana ndiye mchungaji wangu.

  Bwana ndiye mchungachi wangu, sitapungukiwa na kitu} *2
  (Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
  kando ya maji utilivu huniongoza) *2
 2. {Huandaa meza mbele yanguâ.
  Huandaa kmeza mbele yangu , machoni pa watesi wangu }*2
  (Umenipaka mafuta kichwani pangu,
  na kikombe change kinafurika) *2
 3. {Hakika wema na fadhili..
  Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote} *2
  ( Zitanifuata siku zote za maisha yangu,
  nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele) *2
 4. {Katika njia za haki..
  Katika njia za haki sitaogopa mabaya} *2
  (Kwa maana wewe upo pamoja nami,
  gongo lako na fimbo yako vyanifariji )*2