Tumealikwa na Bwana Lyrics

TUMEALIKWA NA BWANA

 1. Tumealikwa na Bwana (ooh)
  twende tule mwili wake (meza)*2
  Ya Bwana tandikwa (ooh)
  twende tunywe damu yake *2
  Natwende tule mwili wake na tunywe damu yake
  (All) Meza ya Bwana imetandikwa kwa nguo safi tuleni *2

  [t] Ooh ooh ooh tumealikwa sasa *2
  Twende mwa altarini
  Twende tule mwili wake
  Twende tunywe damu yake
  Yesu anatungonjea
  Twende tukaburundike
  Ooh ooh ooh tumealikwa sasa *2

  |b| tumealikwa sasa *2
  |t|tumealikwa sasa *2
  |a| tumealikwa sasa *2
  |s| tumealikwa sasa *2
  Ooh ooh ooh tumealikwa sasa *2
 2. (Chakuuu) chakula toka mbinguni
  (Chakula) chatuletea uzima
  (sote) tunapojazwa upendo
  (Wake Bwana) tuwatumikie wanzetu *2
Tumealikwa na Bwana
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments