Asante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu
Performed by-
CategoryThanksgiving / Shukrani
Views8,114

Asante Bwana Yesu Lyrics

  1. { Asante Bwana Yesu,
    Kwa mema uliotupa } *2
    Chakula cha rohoni,
    Bwana umetupa.
    Kinywaji cha rohoni,
    Bwana umetupa.

  2. Umetulisha sisi - asante Bwana Yesu
    Kwa mwili wako bora
  3. Umetunywesha sisi-
    Kwa damu yako bora -
  4. Leo umenifunza aa -
    Kwa mfano wako bora -