Ninapokula Mwili Wako

Ninapokula Mwili Wako
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Ninapokula Mwili Wako Lyrics

Ninapokula mwili wako Bwana,
Moyoni mwangu (Bwana) hujaa furaha.
Ninapokunywa damu yako Bwana,
Moyoni mwangu (Bwana) hujaa amani,
Chakula hiki (Bwana) nipe siku zote,
Ukae mwangu (Bwana) daima milele.

 1. Ninapokula mwili wako Bwana,
  Moyoni mwangu (Bwana) hujaa furaha.
  Ninapokunywa damu yako Bwana,
  Moyoni mwangu (Bwana) hujaa amani.
 2. Ninapoomba ewe Bwana Yesu,
  Ujaze neema rohoni mwangu.
  Nitie nguvu siku zote Bwana,
  Ili nipate nguvu za milele.