Bwana Nipe Uwezo
Bwana Nipe Uwezo | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Tafakari |
Views | 6,687 |
Bwana Nipe Uwezo Lyrics
- Bwana nipe uwezo kama Petro Simoni
Nipitie juu ya maji, Bwana nipe imani.Ewa mwenzangu u majini tembea
Ewe tembea ee mwanangu tembea
Kweli ninatembea lakini bado nazama
Ni kwa sababu imani yangu ni haba. *2 - Tukimshinda shetani, tumeyashinda mawimbi
Tukilemewa na dhambi, tumezama majini. - Dunia ni bahari dhambi nazo mawimbi
Chung asana mawimbi, usizama majini.