Ee Yesu Wangu Nakupenda
| Ee Yesu Wangu Nakupenda | |
|---|---|
| Performed by | St. Antony of padua Magomeni |
| Album | Twende Mezani |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Composer | John Maja |
| Views | 8,241 |
Ee Yesu Wangu Nakupenda Lyrics
Ee Yesu wangu nakupenda mimi
Chakula cha yangu roho
wewe ni chakula cha yangu roho
Kila siku nakuwaza wewe
Shinda nami ukae nami ndani yangu- Chakula hiki ni mwili wangu
Kinywaji hiki ni damu yangu
Tule tupate uzima wa milele - Nisipokula huu mwili wangu
Msipokunywa hii damu yangu
Kamwe hamtakuwa na uzima - Alaye mwili na damu yangu
Hukaa ndani nami ndani yake
Nitamfufua siku ya mwisho