Twende Mezani Kwa Bwana

Twende Mezani Kwa Bwana
Performed bySt. Antony of padua Magomeni
AlbumTwende Mezani
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerG. Matui
Views6,241

Twende Mezani Kwa Bwana Lyrics

  1. { Twende mezani kwa Bwana tukale chakula
    (cha Bwana) atualika (Bwana) Bwana
    Sisi twende mezani kwake, tukale chakula } *2

  2. Bwana asema, karibuni pasi wasiwasi
    Mpate chakula, mkila mpate uzima ujao
  3. Bwana asema, chakula nitakachowapa
    Ni mwili wangu, kuleni mpate uzima ujao
  4. Bwana asema, kinywaji nitakachowapa
    Ni damu yangu, kunyweni mpate uzima ujao