Naja Kwako Bwana
| Naja Kwako Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 11,746 |
Naja Kwako Bwana Lyrics
Naja kwako Bwana, unipokee mtumishi wako *2
Kuijongea altare yako, ee Bwana unipokee
Kukutolea sadaka ya misa, ee Bwana unipokee
Kati ya milango yako, Bwana napita.
Niwekee mkono wako, nibariki *2- Ninakuja kwako kukusujudia,
Kukutolea shukrani, sala na maombi yangu *2 - Nitakusujudu ee mungu wangu,
Nifanye toba ya kweli, katika hii nyumba takatifu *2 - Nitakuimbia kwa nyimbo nzuri
Kwa nyimbo nzuri za shangwe,
Kukuabudu ee Bwana Mungu *2