Aiyelele

Aiyelele
Choir-
CategoryGeneral

Aiyelele Lyrics

Aiyelele iyele iyele iyele iyele *21. Umeteuliwa, kwa kazi ya mungu- iyelele
Umebarikiwa, kwa kazi ya Mungu-
Jiandae sasa, kwa kazi ya Mungu-
Usisite ndugu, kwa kazi ya Mungu-

2. Tulifurahi leo, na tushangilie - iyelele
Tucheze pamoja, tuimbe pamoja-
Tupige na ngome, tucheze na zeze-
Tupige filimbi, wote tufurahi-

3. Ni furaha kubwa, tushangilie - iyelele
Kwa vifijo tele, tumshangilie-
Kwa ngoma na zeze, tumshangilie-
Pia kwa filimbi, tumshangilie-

4. Kwa vigelegele, tumshangilie- Iyelele
Wanyama na ndege, tumshangilie-
Milima na mabode, tumshangilie-
Bahari na mito, tumshangilie iyelele-

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442