Mimi Ndimi Chakula
| Mimi Ndimi Chakula | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Composer | V. B. Kanuti |
| Views | 6,106 |
Mimi Ndimi Chakula Lyrics
Mimi ndimi chakula cha uzima
Chakula cha uzima
{Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu
Huyo anao uzima wa milele } *2- Mimi ndimi chakula cha uzima
kilichoshuka kutoka mbinguni
Alaye chakula hiki ataishi milele - Chakula nitakachowapa mimi
Ni mwili wangu pia na damu yangu
Ni kwa ajili ya uzima wa ulimwengu - Aulaye mwili na damu yangu
Huyo ana uzima wa milele
Nami nitamfufua siku ya mwisho