Onjeni Muone
Onjeni Muone | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | John Maja |
Views | 3,430 |
Onjeni Muone Lyrics
Onjeni muone (Bwana) ya kuwa Bwana
Bwana yu mwema Bwana yu mwema- Nitamhimidi Bwana kila wakati
Sifa zake kinywani mwangu daima - Katika Bwana nafsi yangu itajisifu
wanyenyekevu wasikie wakafurahi - Mtukuzeni Bwana pamoja nami
Na tuadhimishe jina lake pamoja