Je Bwana Nastahili
Je Bwana Nastahili | |
---|---|
Performed by | St. Antony of padua Magomeni |
Album | Twende Mezani |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | G. M. Liheta |
Views | 3,268 |
Je Bwana Nastahili Lyrics
Je Bwana nastahili kujongea meza yako?
Je Bwana nastahili kujongea meza yako?
Kwani mimi si mnyofu wa moyo nifanye nini
Bwana ninatamani Nifanye nini
nami nijongee meza yako Bwana nipate uzima wa milele- Njooni kwangu nyote, msiogope
Njooni mimi ni uzima wa milele - Njoo mwenye njaa usiogope
Mwili wangu ni chakula cha uzima - Njoo mwenye kiu usiogope
Damu yangu ni kinywaji cha uzima - Njoo mwenye dhambi usiogope
Kwani mimi ni wokovu wa milele