Maisha Yetu ni Mafupi
| Maisha Yetu ni Mafupi | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Views | 9,606 | 
Maisha Yetu ni Mafupi Lyrics
- Maisha yetu ni mafupi, kweli hapa duniani,
 Tuishi tukijihadhari,mwokozi yu karibu kujaEe Bwana twaomba tuokoe, dhambi zetu ni nyingi sana,
 Utupe neema yake Bwana kila siku tukuishie *2
- Watoto, vijana, wazee, sote tumepungukiwa,
 Na utuku mwako Bwana, tuonyeshe njia ya ukweli.
- Jitu limetuzingira, sote tuko hatarini na Moyoni tumeshamezwa,
 Naye yule mwovu tuondoe katika giza.
 
  
         
                            