Hongera kwa Bwana na Bi Harusi

Hongera kwa Bwana na Bi Harusi
Performed by-
CategoryHarusi
Views11,639

Hongera kwa Bwana na Bi Harusi Lyrics

 1. Hongera Bwana na Bi harusi *2
  Twawatakia maisha marefu. *2
  Hongera Bwana na Bibi harusi

 2. Mliofunga ndoa leo
  Muishi kwa amani nyumbani mwenu.
 3. Pete mliovikana leo
  Ni ishara ya mapendo mbele ya Mungu
 4. Bwana amtendee Bibi mema
  Bibi amtendee Bwana mema
 5. Muwaheshimu wazazi wote
  Kila upande Bibi na Bwana.
 6. Kiapo cha leo mlichoapiana
  Mkikumbuke siku zote.