Leo Shangwe za Harusi Lyrics

LEO SHANGWE ZA HARUSI

 1. Leo shangwe za harusi, ni furaha mwaoana *2
  Leo ninyi mwaungana kitu kimoja kwa upendo *2

  Mpendane mtunzane siku zote,
  Muishi kwa amani daima
  (ee na furaha Mungu awajalie watoto) *2 ee

 2. Kama Adamu na hawa mmekuwa kitu kimoja.
  Kama Yesu na kanisa mwaungana kwa upendo.
 3. Ewe kijana shukuru umechagua mzuri
  Msichana shangilia kati ya wote ni wewe.
Leo Shangwe za Harusi
CATEGORYHarusi
 • Comments