Neema ya Ndoa
| Neema ya Ndoa | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Harusi | 
| Views | 3,392 | 
Neema ya Ndoa Lyrics
- Neema ya ndoa iwape shime *2
 Neema ya ndoa iwape shime,
 Katika kmashaka yote, mashaka yote *2
- Hivi ndivyo mtu mwenye
 Kumcha Bwana atakavyobarikiwa naye.
- Upate kuwaona watoto wako.
 Amani kwa Israeli.
 
  
         
                            