Wawili Wakitembea Pamoja

Wawili Wakitembea Pamoja
Performed by-
CategoryHarusi
Views2,867

Wawili Wakitembea Pamoja Lyrics

 1. Ukiona wawili wakitembea pamoja,
  hao kweli wameamua waishi pamoja.
  Kweli hawezi tembea pamoja,l
  hawajakubaliana;
  kweli (hawa, wamekubaliana waishi pamoja kwa upendo *2)

 2. Tunamuona huyu ndugu, wameshikana na huyu dada;
  wakitembea pamoja, (unyo unyo unyo unyo),
  hawa kweli Bwana na Bi Arusi.
 3. Mungu Baba awajalie, maisha mema katika ndoa;
  wapendane siku zote, (pendo pendo pendo pendo),
  vile wewe wpenda kanisa.
 4. Ndugu mpende mke wako, vile Yesu apenda kanisa;
  nawe dada mtii, (mume mume mume wako) mjenge familia pamoja.
 5. Wape watoto Ee Mungu, kama pendo lako kwao;
  nao waimbe nyimbo nzuri,(ti ri ri ri ri ri ri ri ri),
  wakusifu milele yote.