Ndiwe Sitara Yangu
| Ndiwe Sitara Yangu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | D. E. Ng |
| Views | 5,129 |
Ndiwe Sitara Yangu Lyrics
{Ndiwe sitara yangu Bwana
Utanihifadhi na mateso
Utanizungusha nyimbo za wokovu
Nyimbo za wokovu } *2- Heri aliyesamehewa, aliyesamehewa dhambi
na kusitiriwa makosa yake makosa yake - Nalikujulisha dhambi, dhambi yangu dhambi yangu
Wala sikuuficha upotovu upotovu wangu - Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana
Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu