Ee Viumbe Karibuni
Ee Viumbe Karibuni | |
---|---|
Performed by | St. Augustine Bugando Mwanza |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | (traditional) |
Views | 8,834 |
Ee Viumbe Karibuni Lyrics
- Ee Viumbe karibuni, Mungu wenu kamsifuni
Ndiyo sakramenti kuu, mwili damu ya Yesu *2
- Ee Maria we utaanza, kumwimbia we wa kwanza
- Nanyi wote malaika, wa Mbinguni mtaitika
- Manabii na mababu, mwone jambo la ajabu
- Nyie mitume na wenjili, tukuzeni fumbo hili
- Mashahidi, waungana, jongeeni kutazama
- Ninyi mabikira pia, sichokeni kumwimbia
- Ee watakatifu wote, mwimbieni siku zote