Ee Viumbe Karibuni

Ee Viumbe Karibuni
ChoirSt. Augustine Bugando Mwanza
CategoryEkaristia (Eucharist)
Composer(traditional)
SourceMwanza Tanzania
Musical Notes
Time Signature3
4
Music KeyB Flat Major
NotesOpen PDF

Ee Viumbe Karibuni Lyrics

  1. Ee Viumbe karibuni, Mungu wenu kamsifuni

    Ndiyo sakramenti kuu, mwili damu ya Yesu *2

  2. Ee Maria we utaanza, kumwimbia we wa kwanza
  3. Nanyi wote malaika, wa Mbinguni mtaitika
  4. Manabii na mababu, mwone jambo la ajabu
  5. Nyie mitume na wenjili, tukuzeni fumbo hili
  6. Mashahidi, waungana, jongeeni kutazama
  7. Ninyi mabikira pia, sichokeni kumwimbia
  8. Ee watakatifu wote, mwimbieni siku zote