Yesu Msalabani Alipotundikwa
| Yesu Msalabani Alipotundikwa | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha | 
| Album | Hii ni Kwaresma | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Composer | F. A. Nyundo | 
| Views | 5,566 | 
Yesu Msalabani Alipotundikwa Lyrics
- { Yesu msalabani, alipotundikwa
 Hakuwa na dhambi, mkombozi wetu } *2
 Dhambi zetu nyingi sana, ndizo zilimtesa
 Hakuwa na kosa, mkombozi wetu
- Aliteswa msalabani kwa ajili ya ukombozi wetu sisi
- Akasubulibiwa kwa ajili ya ukombozi wetu sisi
 
  
         
                            