Nimefufuka Na Bado
| Nimefufuka Na Bado | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Album | Kafufuka Mwokozi |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Composer | A. J. Msangule |
| Views | 4,138 |
Nimefufuka Na Bado Lyrics
{ Nimefufuka na bado ningali nawe
Nimefufuka na bado nawe } *2
{ Wauweka mkono wake kichwani mwangu
Maarifa yako ni ya ajabu kwangu } *2- Umenizunguka ee Bwana, uko kila kona wanilinda salama
Umenichunguza ee Mungu, umeijua siri yangu ya moyoni - Umeniwekea ulinzi, kwa mkono wako Bwana umenilinda
Kaa nami Kristu mfufuka, unipe uzima wako wa milele