Njooni Tuingie
Njooni Tuingie |
---|
Performed by | - |
Category | Pasaka (Easter) |
Composer | A. Kenani |
Views | 16,788 |
Njooni Tuingie Lyrics
Njooni tuingie kwa nyumba yake Bwana,
Njooni tufurahi mbele yake muumba
(kwa furaha-tuimbe
kwa sauti- tusifu
kwa vinanda-tucheze
kwa nderemo-na shangwe
Tuingie nyumbani mwake bwana muumba wetu } *2
- Asubuhi njema ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
- Maisha mazuri ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
- Afya na mavazi ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
- Elimu na kazi ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
- Wanyama mimea ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
- Amani umoja ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu