Toba Yangu
| Toba Yangu | |
|---|---|
| Performed by | St. Monica Lower Kabete Campus UoN |
| Album | Toba Yangu |
| Category | Tafakari |
| Composer | P. C. Kemei |
| Views | 3,202 |
Toba Yangu Lyrics
{ Ungalianza kuhesabu maovu yetu,
nani angeweza kusimama mbele yako }*2
Nani angeweza, nani angeweza-
nani angeweza kusimama mbele yako } *2- Wazee kwa vijana tumekosa,
Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako - Kwa mawazo kwa vitendo tumekosa,
Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako - Kwa anasa za dunia tumekosa,
Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako - Ulevi na ukaidi tumekosa,
Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako - Maria Bikira mwema mwenye heri,
utuombee kwa mwanao ee mama, Yesu Kristu.