Roho wa Bwana

Roho wa Bwana
Performed bySt. Monica Lower Kabete Campus UoN
AlbumToba Yangu
CategoryPasaka (Easter)
ComposerA. Kenani
Views9,232

Roho wa Bwana Lyrics

  1. Roho wa Bwana ameujaza,ameujaza ulimwengu,
    naye anaviunganisha, viumbe vyote, viumbe vyote,
    Hujua maana (hujua) maana ya kila sauti *2

  2. Neno lake Mungu limeweza,kutendeka katika mioyo yetu
  3. Furahini Roho mtakatifu, mfariji ukatushukia
  4. Ee nafsi ya tatu ya Mungu uwe, nasi siku zote na milele